SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 7 Oktoba 2016

T media news

VANESSA MDEE ANDIKA UJUMBEE HUU BAADA YA KUKATAA SHOW YA CHRIS BROWN


Mwambaji Vanessa Mdee Ametangaza kuwa hatakuwepo kwenye show kubwa ya Mombasa ambayo awali ilitangazwa atakuwepo sambamba na Chriss Brown, Ali Kiba na Wengine..Sababu alizozitoa ni kuwa waandaaji wa Show hawakutimiza makubaliano yao ya mwanzo.

Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram: