SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 6 Oktoba 2016

T media news

SUPER STAR DIAMOND PLATINUMS ASEMA YEYE NA WEMA SEPETU SASA MAMBO POA,WANAWASILIANA, AONGELEA UHUSIANO WA WEMA NA IDRIS

Hakuna kitu ambacho mashabiki wa Diamond na Wema wanakipenda kama kuwaona wawili hao wakishirikiana bila matatizo na wenyewe wameamua kufanya kama mashabiki wao wanavyopenda.

Mbali ya siku za hivi karibuni wawili hao kuonekana wakishirikiana na kupeana support kwenye mambo mbalimbali, Diamond na Wema kwasasa ni marafiki na wanawasiliana mara kwa mara, Diamond amemwaga ubuyu.