SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 17 Oktoba 2016

T media news

NENO LA LEO NI SENTESI HIZI ZA RAIS MAGUFULI LEO KWENYE KUMUAGA MAREHEMU MASABURI LIVE AT KARIMJEE HALL LIVE!!

"Katika wadhifa alitajwa mke wa marehemu mmoja, lakini mimi nafahamu wake wa marehemu wako wanne/watano hivi.
Katika tabia zetu za kiafrika kuwa na wake zaidi ya wawili, watatu, wanne, watano, kumi ni kitu cha kawaida. Mfalme Sulemani alikua na wanawake tunaambiwa 1000 lakini tunamtaja kwenye vitabu vyote vitakatifu. Kwa hivyo napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole sana wake wote wa marehemu na watoto wote. Inawezekana tukazungumza watoto wa marehemu wapo 20 lakini mimi najua wapo zaidi ya 20." - Rais JPM kwenye msiba wa Masaburi, 17/10/2016.