SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 6 Oktoba 2016

T media news

MBUNGE HUYU WA MKURANGA SASA KUPEWA SHAVU BAADA YA KUFAGILIWA KWA DAKIKA 3 LEO NA RAIS MAGUFULI!!


"Mimi sio mnafiki ninaposema ninasema kweli na Mungu ananiona, Mbunge wenu hapa Mkuranga ni Mchapakazi sana na msishangae nikimpa nafasi zaidi kwa sababu anafaaaa sana" - Rais Magufuli leo Mkuranga.

Mheshimiwa Ulega Mbunge wa CCM Mkuranga, aliyefagiliwa na Rais Magufuli kwa Dakika 3 za hotuba yake leo kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Bakhressa.