Mshindi wa shindano laDUME Challenge 2012, Salum Njwete "Samjet" (kushoto) akipokea hundi ya shilingi milioni 20 na cheti cha ushindi toka Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania, Maurice Chirimi (kulia) katika hafla fupi iliyofanyika ofisi za T-MARC jijini Dar es Salaam Jumatatu.