Arnold Schwarzenegger anaungana na baadhi ya raia ambao hawatampigia kura Donald Trump katika kugombea kiti cha urais November 8 mwaka huu.
Muigizaji maarufu Duniani anayetamba kwa movie zake za Action, Baba Jeni namzungumzia Arnold Schwarzenegger ameamua kuweka wazi kuwa
hatompigia kura Donald Trump japokuwa yeye ni mwanachama wa Republican tangu mwaka 1968.
Uamuzi huo umekuja katika kurasa yake Instagram na twitter baada ya kuandika ujumbe mzito ambao unazungumzia hisia zake za kutokukipigua kura chama cha republican kugombea kiti cha uRais.
As proud as I am to label myself a Republican, there is one label that I hold above all else - American. My full statement: