SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 23 Agosti 2016

T media news

Ajali mbaya yatokea amani mjini zanzibar Lori moja limefeli break na kusababisha majeruhi na vifoo kadha vya watu. Gari hilo lilifeli break kuanzia kilimani cha welezo na kugonga magari kazaa na vespa na watu pia na kumalizikia skuli ya nyerere.. Tutakutetea Habari kamili Muda sio Mrefu..