Asikwambie mtu utamu wa Ndondo upo nje ya uwanja, hilo limeendelea kudhihirika wakati wa mchezo wa robo fainali kati ya Misosi FC dhidi ya Gomz United mchezo uliomalizika kwa Misosi kutinga nusu fainali baada ya kuitungua Gomz kwa mikwaju ya penati.
Nje ya uwanja kulikuwa na amsha-amsha za kutusha, camera yashaffihdauda.co.tz ilikuwepo ili kuhakikisha inakusogezea matukio yote yalijiri uwanja wa Bandari kuwa karibu na wewe.
Hebu angalia picha hizi halafu dondosha comment yako hapo chini ni kitu gani kinakuvutia sana kwenye mechi za Ndondo Cup tangu msimu huu uliopoanza.