Kawaida tumekuwa tukiwaona wakiwa uwanja wa Bandari pale Temeke wakati mashindano ya Ndondo cup yakiendelea.ushangiliaji wao ni wa kipekee kwa aina ya mavazi ambao huvaa na stlye mbalimbali wanazoingia nazo.
Hapa namzungumzia BABU WA KEKO FERNITURE na Dauda tv ilipiga kambi kuanzia kazini kwake akiwa na masela wake hadi nyumbani akiwa na familia yake.
Bofya hapa uone watu walivyotofauti na vile unavyowaona katika mazingira ya uwanjani.