Katika nyakati ambazo umepigika, nakushauri usiangalia page ya Instagram ya Diamond sababu utaumia roho bure! Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!! Staa huyo amepost burungutu sita zilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya gitaa.
Kwakuwa alitaka picha izungumze, aliandika tu: See you Next time DUBAI!!!!
Kwakuwa alitaka picha izungumze, aliandika tu: See you Next time DUBAI!!!!