SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 11 Machi 2016

T media news

Mwanamuziki CHID BENZ Adai Yeye Ndio Baba wa Muziki wa Stamina na Sio Fid Q Kama Watu Wanavyodhania


Chid anadai amepata stori kutoka wa watu waliosoma na Stamina kwamba alikuwa akijiita Chid Benz na kuiga kila kitu alichokuwa akifanya na kudai hilo limedhihirika kwenye ngoma ya Like Father Like Son remix kwa kumpa kolabo.
“Stamina nimepewa stori zake, alikuwa anajiita Chid Benz kwao huko,alivyokuja mjini na kuona Chid Benz ana matatizo ndio akabadilisha na kusema Fid Q ndio kila kitu,sio mbaya lakini uhalisia utabaki kuwa mimi ndo nimemu inspire kuingia kwenye game” alisema Chid Benz.