MAJOR GENERAL ISAMUHYO STADIUM asubuhi ya leo tarehe 14 April, 2025 majira ya saa 4. Pamoja na mvua yote lakini kiwanja kipo kwenye Standard yake ileile tayari kwajili ya mechi ya Robo Fainali ya CRDB BANK CONFEDERATION CUP kati ya JKT TANZANIA na PAMBA JIJI saa 10:00 jioni.
Tunawakaribisha watu wote kuja kuona mchezo maridadi kutoka kwa timu 2 za Ligi Kuu ambazo zimekutana CRDB BANK CONFEDERATION CUP. Njoo uone mchezo bora kutoka kwenye kiwanja BORA kupita vyote kwa sasa Tanzania, huku kwetu HATUPIGI DEKI NYASI. Kiwanja pekee cha nyasi asili Tanzania ambacho hakijawahi kufungiwa na TFF & CAF kwa lolote msimu huu.