Bandari ya Dar es Salaam inatarajiwa kupokea meli 19 kati ya leo Aprili 25 hadi aAprili 30 mwaka huu. Meli hizo zinatokea katika nchi mbalimbali zikiwa na mizigo aina tofauti.
Hapa chini ni taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikionyesha idadi ya meli hizo, siku zitakazowasili pamoja na wakala wa meli hiyo.