
Marehemu Fidel Castro akiwa na Rais wa zamani wa Msumbiji Samora Machel live at Tanzania wamekalia kitanda alichokuwa akikitumia Rais Samora hapa nchini akiwa bado anapigana kuwaondoa wakoloni nchini kwake.

Fidel Castro akiwa na Mandela wote sasa ni marehemu.