SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 9 Septemba 2016

T media news

BREAKING NEWS : MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS WAPATA AJALI



Watu 4 wamejeruhiwa katika msafara wa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya gari moja kuanguka huko Nanguruwe wakati wakitoka mtwara kuelekea Tandahimba.

Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula,

Chanzo: Radio one