Taarifa zilizotufikia kutoka mtaani zinadai kwamba eti Nuh Mziwandaamefungishwa ndoa ya mkeka. Mjomba wa mpenzi wa Nuh mziwanda amewahi kusikika katika U-Heardkuwa Nuh Mziwanda anaishi na mtoto wao huyo kinyume na sheria na kudai kuwa binti huyo ametoroka kwao na hivyo wao kama ndugu wana mtafuta ili aweze kurudi nyumbani.
Baada ya Snitch huyo kuzinyaka ameweza kumfikishia ubuyu wa moto Soudy Brown na muwakilishi huyo wa shirika la wambea duniani SHILAWADUakaona sio kesi ngoja amvutie waya Nuh na waweze kupiga stori kuhusiana na jambo hilo.
Shilole pia akuwekwa mbali katika ishu hii pia alivutiwa waya na gossip master huyo Soudy Brown.