Kumbukumbu ni hali ambayo mtu huweka au uhifadhi kitu au jambo fulani na baadae wengi hutumia kumbukumbu hizo kuwaonyesha watu kile ambacho walikifanya miaka ya nyuma ikiwa katika mfumo wa picha au video.
Kupitia mtandao wa instagram wa video vixen maarufu nchini Tunda amepost picha ya miaka ya nyuma ambapo alikuwa na msanii wa Bongofleva Dogo Janja na marafiki zake wengine na hivyo kutaka kujua kwanini hawafanyi vitu ambavyo walikuwa wakifanya miaka ya nyuma.
“Bonge moja la tbt😆😆 @dogojanjatz @youngkillermsodokii@ iceboyofficial @bianca_mimi kwanini hamna tena izi trip za kupitiana kwenda kuogelea😭😭“