SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 23 Januari 2018

T media news

Tulijipanga Ila Makosa Mawili Ndio Yametugharimu -Mexime


Baada ya timu ya Kagera Sugar kupoteza point tatu nyumbni kufuatia mechi yao dhidi ya Simba Sports Club iliyochezwa katika uwanja wa Kaitaba ndani ya manispaa ya Bukoba, Kocha wa timu hiyo Mecky Mexime ameeleza walipokosea.

Mexime amesema kuwa kikubwa walijipanga vizuri lakini wamefanya mistake mbili na hizo ndo zimewaadhibu na ameongeza kuwa bado wanajipanga hawajakata tamaa na wanaamini watapata tu matokeo.