SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 22 Januari 2018

T media news

Tangazo la nafasi 20 za kazi kutoka Mamlaka ya Serikali za Mitaa

DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) – 20 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-01-16
Application Deadline: 2018-01-30

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
ii.    Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
iii.    Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari,
iv.    Kukusafanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
v.    Kujanza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,
vi.    Kufanya usafi wa gari,
vii.    Kufanya kazi zingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne (Form IV) na Leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji Magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.

REMUNERATION: Salary Scale TGOS B