SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 24 Januari 2018

T media news

Picha 9: Majambazi wakamatwa wakipanga uhalifu kwa wanafunzi wa chuo


Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewakamata majambazi kadhaa walipokuwa katika jaribio la kutaka kufanya uhalifu kwa wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Babati mkoani Manyara leo Januari 24, 2018.