SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 26 Januari 2018

T media news

Picha 10 za mtoto wa mwanamuziki Alikiba, Prince Sameer

Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba au King Kiba, ni miongoni mwa wasanii ambao kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kutenganisha maisha yao binafsi na maisha yao ya muziki. Watu wengi, hasa mashabiki wake wa kawaida, hawafahamu mambo mengi kuhusu maisha yake binafsi hasa yanayohusu famili yake.

Hii ni tofauti na wasanii wengine wa hapa Tanzania ama nje ya Tanzania ambao huweka wazi masuala mbalimbali yanayohusu maisha yao binafsi na familia zao hasa kupitia mitandao ya kijamii.

Wasifu wa mwanamuziki wa Tanzania, Ali Saleh Kiba (Alikiba)

Alikiba ana watoto watatu, na hapa chini ni picha za mwanae mmoja anayjulikana kwa jina la Prince Sameer Ali Kiba.