SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 17 Novemba 2017

T media news

Haipaswi Kumuhukumu Lulu na Kumcheka Ila ni Kujifunza Kitu kwenye Mapenzi Kupitia Yeye- Penny

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amewaasa watu wajifunze kupitia muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Akizungumza na Star Mix Penny alisema kuwa, haipaswi kumuhukumu Lulu na badala yake kujifunza kwani jambo kama hilo linaweza kumpata mtu yeyote. “Jamani hakuna sababu

Elizabeth Michael ‘Lulu’.
ya kumsema Lulu vibaya au kumcheka ila ni kujifunza kuwa tukio kama hilo linaweza kumpata mtu yeyote hivyo mwenzio akipatwa na jambo kama hilo ni vyema kumuombea,” alisema Penny.
Stori zinazo husiana na ulizosoma