SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 16 Septemba 2017

T media news

Huyu Hapa Ndio Kipusa Aliemzuzua Diamond Platnumz na Kumtema Zari Kama Big G

Umesikia habari za ikulu ya Madale kufuka moshi? Sahau kuhusu Hamisa Mobetto na wengine, mshindi wa BBA mwaka 2013 (The Chase) Dillish Mathews ndio habari ya mjini kwa sasa. Mrembo huyo ambaye ni raia wa nchini Namibia anadaiwa kuuingilia utamu wa Zari The Bosslady kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond. Mfahamu zaidi malkia huyo kwa picha hizi hapa chini.