Watu wengi wanaufahamu mti wa mvunge kama mti unaotumika katika tiba ya kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio kwa wanawake.
Hii ni kwa sababu, mti wa mvunge umekuwa ukitumika katika tiba ya kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio tangu enzi za mabibi na mababu.
Vile vile, mti wa mvunge tayari umethibitishwa kitaalamu kuwa na uwezo wa kitabibu katika kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio.
Taarifa ya kuthibitishwa kwa mti wa mvunge, imeripotiwa katika gazeti la Mwananchi la tarehe 26, Januari 2013.
KUSOMA TAARIFA HIYO TEMBELEA :http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1675676/-/11rp5fp/-/index.html
Hata hivyo, mbali na kuwa na uwezo wa kurefusha na kunenepesha maumbile ya kiume pamoja na kunenepesha makalio, mmea wa Mvunge unazo faida nyingine lukuki kwa afya ya mwanadamu.
Baadhi ya faida hizo ni kama ifuatavyo ;
FAIDA NYINGINEZO ZA KITABIBU ZA MTI WA MVUNGE
1. Mti wa mvunge una uwezo wa kutibu majeraha ya vidonda
2. Mti wa mvunge hutibu vidonda visivyo pona ‘ Vidonda Ndugu ‘
3. Mti wa mvunge hutumika kutibu vidonda vya tumbo
4. Majani ya mti wa mvunge hutumika kutibu magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile kaswende na kisonono.
5. Unga wa tunda la mvunge hutumika katika tiba dhidi ya magonjwa mbalimbali ya ngozi.
6. Unga wa tunda la mvunge hutumika kutibu chunusi za usoni na mwilini
7. Mti wa mvunge hutumika katika kutibu bacteria na maambukizi ya bacteria
8. Mti wa mvunge hutumika kuongeza ukubwa wa matiti na kuyasimamisha
9. Mti wa mvunge unatumika kutibu ukurutu
10. Mti wa mvunge ni tiba nzuri sana dhidi ya majipu au upele wenye kutoa usaha.
11. Mti wa mvunge unatumika kutibu maumivu ya chini ya mgongo
12. Mti wa mvunge hutibu maradhi ya maumivu kwenye magoti
13. Mti wa mvunge ni tiba nzuri sana ya tatizo la baridi yabisi.
14. Mti wa mvunge unasaidia kutibu maumivu ya tumbo
15. Mti wa mvunge husaidia kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la maumivu ya kwenye meno.
16. Mti wa mvunge hutumika katika tiba dhidi ya Homa ya mapafu
17. Mti wa mvunge husaidia kutibu tatizo la kukosa choo
18. Mti wa mvunge husaidia kuupa mwili nguvu na joto
19. Mti wa Mvunge hutumika kutibu bawaziri
20. Mti wa Mvunge hutumika kuondosha minyoo wa tumboni
21. Mvunge unapochemshwa kitaalamu kwa pamoja na asali mbichi ya nyuki wadogo, husaidia sana kuondoa lehemu( Cholestrol ) isiyo hitajika mwilini.
22. Mti wa Mvunge husaidia kuongeza maziwa kwa mama anaye nyonyesha
Tunachukua fursa hii kuonya kuwa wasomaji wasijiamini sana katika kutengeneza dawa na kuzitumia mara baada ya kusoma makala haya.
Unashauriwa upate ushauri wa kutosha kutoka kwetu au kwa wataalam waliobobea katika tiba asili
zinazohusu mti huu wa mvunge.
Na kwa mahitaji ya bidhaa mbalimbali zitokanazo na mti wa Mvunge kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kitabibu, fika katika duka la NEEMA HERBALIST.
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM, karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja waliopo nje ya Dar Es Salaam, tunawatumia bidhaa kwa njia ya usafiri wa mabus mbalimbali.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu,