SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 19 Septemba 2017

T media news

BREAKING NEWS: Gazeti la Mwanahalisi Lafungiwa na Serikali

Serikali kupitia Idara ya habari maelezo imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa muda wa miaka miwili kwa kosa la kukithiri kwa kuandika habari zinazokiuka maadili ya taaruma hiyo.