SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 17 Agosti 2017

T media news

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsalimia msaidizi wa  Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam        

MAZUNGUMZO YAKIENDELEA

 ZAWADI YA NGAO

  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikabidhiwa zawadi ya ngao na Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, wakati akipokea zawadi hiyo

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Itifaki katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza hadi nje, Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Qatar

Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.