Taarifa kutoka kwa Mbunge wa viti maalimu mkoa wa Mara Joyce Sokombi, ameiambia Radio Saut Fm kuwa hali Mbunge Bulaya ni mbaya sana na anashindwa kupumua.
Juhudi za kumuamishia hospial ya rufaa ya Bugando zinagonga mwamba kutokana madaktar ktk Hospital ya wilaya Tarime kusema hawama na mamlak.