SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 25 Juni 2017

T media news

Rayvanny ashinda tuzo kubwa nchini Marekani

Mwanamuziki Rayvanny kutoka WCB nchini Tanzania ametwaa tuzo ya BET nchini Marekani usiku wa kuamkia leo (kwa saa za Afrika Mashariki) katika kipengele cha Best New International Act 2017.

Rayvanny amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza kabisa ikija nchini Tanzania huku akiwashukuru watu wote waliomuwezesha kushinda pamoja na vyombo vya habari.

“God is good all the time.Asante Mungu wangu Ulieniumba,Unaejua mwanzo na mwisho wangu.Uliyaona machozi yangu nilipokua mpweke sina furaha na mwenye majonzi mengi.WEWE NDIYE MUWEZA… Asanteni wadau Wote mlio VOTE kwa Ajili yangu Ushindi umerudi Nyumbani.SITOACHA KUSHUKURU UONGOZI MZIMA#WCB.” aliandika Rayvanny baada ya ushindi huo.

Bosi wake Rayvanny, Diamond Platnumz na yeye ameshindwa kujizuia kuonyesha furaha yake kufuatia ushindi huo ambapo amechapisha picha mbalimbali akimsifu Rayvanny kwa kujituma kwake bila kukata tamaa. Lakini pia Diamond alielezea namna alivyokutana na msanii huyo hadi kumsajili WCB.

“Earlier 2015 I met @Rayvanny in one of the Studios in Tanzania and realised how Talented and Humble he is… since my Record label’s plan wasn’t Ready that time i couldin’t do anything… i flew to Germany for my tour…on the 9th of May 2015 when i was at the Backstage i started thinking and i felt sorry for him the way how Talented and Humble he was, but with no Help… then i posted him on my Instagram
“i believe God see your daily hustle and struggle…Never give up, Keep praying everyday…i believe one day God will open the Doors and let the World recognize your Talent!”….

Right after starting my @Wcb_Wasafi Record label i signed him and today he is the BET VIEWER’S CHOICE BEST NEW INTERNATIONAL ACT 2017 and for the First time bringing the BET trophy to TANZANIA!!!!….Thank you GOD i’ts all because of you
… Thanks alot to the all Media and fans for the Major Support #FIRE


” ameandika Diamond.

Hapa chini ni picha na video zaidi kumhusu Rayvanny na ushindi huo.

@rayvanny is THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!! WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo
#Wcb_Wasafi #WinningTeam!!!!…Suit by @Speshoz

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Jun 24, 2017 at 11:15am PDT


if you ask me to express my #MOOD now!
#Wcb_Wasafi for Life
@rayvanny

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Jun 24, 2017 at 2:38pm PDT


You make us More than Proud @Rayvanny….. May God continue Blessing you More…. Always Remember our Major Keys: #Prayers #RespectToAll #Creativities #NeverLooseHope…. (Mwenyez Mungu Tunakushkuru kwa Baraka zako

Mafans kama kila mmoja nimfate kwao isiku huu huu niwape hug kwa Support kubwa Mnayotupa…. We Love Youuuuuuu!!!! ) BET AWARDS BEST VIEWERS CHOICE ACT 2017!!! #Wcb_Wasafi for life

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Jun 24, 2017 at 1:34pm PDT