SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 18 Mei 2017

T media news

Timu ya soka ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti boys imechukua uongozi wa kundi B baada ya kuisambaratisha Angola kwa bao 2 kwa 1.


-Matokeo hayo yanaipa matumaini makubwa Serengeti boys kufuzu nusu fainali michuano ya Afrika na tiketi ya kushiriki kombe la dunia.

Gonga LIKE kisha SHARE na marafiki.