SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 18 Mei 2017

T media news

MBUNGE Susan Lyimo: Kama Kweli Hostel za UDSM Zimejengwa kwa Mil 500, Nitatoa Hela Zijengwe Zingine..!!!


“Naomba CAG afanye ukaguzi maalum katika hostel mpya UDSM na kama kweli jengo moja linalochukua wanafunzi takribani 390 linagharimu Milioni 500 basi mimi nitatoa Milioni 500 serikali ijenge jengo lingine la ghorofa tatu ili tuweke vijana wengine”. - Susan Lyimo (Mbunge-Chadema) 

Toa maoni yako