SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 12 Aprili 2017

T media news

Mwakyembe Amjibu Juma Nkamia Juu ya Yeye Kukaa Meza Moja na Roma Mkatoliki Siku Alipokutana na Waandishi wa Habari..!!!


Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.

Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'