Taifa korofi duniani, Korea kaskazini, limechukua hatua za dharura na haraka za kuhamisha raia wake wapatao 600,000 na kuwapeleka ktk miji mingine baada ya Marekani kujiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo kutokana na majaribio yake ya mara Kwa mara ya makombo ya nuclear pamoja na yale ya masafa marefu.
Sababu za kuwahamisha raia hao inadaiwa ni kutoa nafasi Kwa jeshi la kikosi cha makomandoo ili waweze kuulinda mji huo mkuu Kwa Uhuru zaidi na kuwaepushia raia madhara.
Manowari za kijeshi za Marekani tayari Zipo ktk peninsula ya Korea zikisubiri amri ya kushambulia kutoka White House.