SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 13 Aprili 2017

T media news

INSPEKTA Aachia Diss Kali Kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki Wakati Unasali kwa Gwajima?"

Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,

hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma

Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma

Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima

Mziki wa Magufuli utauweza?? 

 USIKILIZE HAPA: