SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 21 Machi 2017

T media news

Waziri wa afya, Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa wanaendelea kupokea maombi ya madaktari wanaotaka kwenda Kenya

 pamoja na chama cha madaktari kutofautiana nao.

-Waziri Ummy amedai wamepokea maombi zaidi ya 150 kwa siku ya kwanza na kutoa wito kwa madaktari wasiachie hio fursa, wamehakikishiwa usalama wao na Rais wa Kenya.