SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 6 Machi 2017

T media news

Makonda Yuko Sahihi. Kubadili Jina Kuko Kisheria...!!!


Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana

Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .