SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 21 Machi 2017

T media news

Kimenukaa..Askofu Gwajima Atangaza Vita Mpya Dhidi ya Makonda...!!!!


Kwa upande wake Gwajima, juzi alitumia ibada kwenye kanisa lake lililopo Ubungo-Maji kuonesha cheti cha matokeo ya kidato cha nne alichodai ni cha Makonda kilichoonesha alipata alama F kwenye masomo yote alipohitimu katika Shule ya Sekondari ya Pamba jijini Mwanza.

Gwajima alisema ngoma bado mbichi baada ya video iliyoenea mtandaoni ikionesha Makonda akivamia kwenye Ofisi za Clouds kwa kile kinachodaiwa kushindwa kurushwa hewani mahojiano ya mwanamke anayedaiwa kuzaa naye.

“Anachokifanya ni kuwasha moto wakati hana Zima Moto, kama Daudi Bashite ataendelea kunichokonoa, nitakuja na makombora mengine, nitapiga na moshi utatoka,” alisema Gwajima.