BI.HADIJA JIMANNE KAMA ANAVYO ONEKANA KWENYE PICHA AMEPOTEA
Anatafutwa na ndugu zake anaitwa Hadija Jumanne au mama Adhra au mama Kauthar amepotea toka tarehe 02.03.2017 maeneo ya kigogo. kwa yeyote atakayemuona au kujua taarifa zake tafadhali toa taarifa kwa 0782 470505/0715 710625 au kituo cha polisi chochote kilicho karibu nawe, naomba musambaze pia kwenye magroup ya whtpp.