SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 15 Februari 2017

T media news

PICHA: Wachezaji wa Bongo walivyoonesha #mapenzimubashara siku ya Valentine

February 14 ya kila mwaka ni siku ya wapendanao na huadhimishwa duniani kote kwa watu kuonesha mapenzi kwa watu wao wa karibu.

Mapenzi ni kitu cha ajabu, wapo wanaoweza kuamini ni bahari kwa sababu hayana mwisho na yanabeba visafi kwa vichafu, vibovu na vinavyovutia, vibaya kwa vizuri na pengine baraka au mikosi.

Mapenzi huanza na mahusiano na yapo kila sehemu kuanzia chini ya paa za nyumba njiani kuelekea makazini mpaka kwenye nyumba za ibada.

Kwa sababu upendo ni maisha, basi upendo ni michezo pia. Wanamichezo wanahusudiwa kwa kazi za miguu na mikono yao pia, lakini hata nyoyo zao kuna wakati hufanya kazi zaidi ya kusukuma damu yaani hukiuka misingi aliyoisema msanii maarufu Ditto.

Kuna wakati wachezaji huonekana kama ni wahuni na makatili kutokana na kile wanachokifanya wakati wanapotimiza majukumu yao viwanjani lakini nihawa pia ambao huonekana malaika kwa wapenzi wao au wenza wao.

Leo nakupa list ya baadhi ya wachezaji wa kibongo ambao waliitumia siku ya wapendanao kuonesha upendo kwa watu wao wa karibu kwa ku-post picha picha na kuwatakia kila la heri katika siku hiyo maalum kwa wapendanao.

Simon Msuva

Himid Mao ‘Ninja’


Thabani Kamusoko

Paul Nonga

Adam

James Msuva

Agrey Morris