SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 27 Januari 2017

T media news

RAIS WA MEXICO AFUTA ZIARA YAKE MAREKANI


Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amefuta ziara yake ya kuenda nchini Marekani wiki ijayo kukutana na rais Donald Trump.Hatua hii inakuja siku moja baada ya bwana Trump kutangaza mpango wake wa kujenga ukuta kwenye mpaka kati ya Mexico na Marekani.

Mexico: Hatutalipia ukuta wa Donald Trump Trump: Mexico watalipia ukuta '100%'

Trump pia alisisitiza kuwa kuwa gharama ya ujenzi wa ukuta huo italipwa na Mexico ambayo tayari imepinga vikali.Wabunge wa Senate wanasema kuwa bungea la Marekani litaendelea na mpango huo ambao ukadiriwa kuwa utagharimu dola bilioni 12.