SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 2 Desemba 2016

T media news

STAA ALI KIBA KUJA NA KITU HIKI

Kuna uwezekano mkubwa safari ya Alikiba kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park aliyoifanya kwa ajili ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 30 ikaja na kitu kizuri kwa mashabiki.

Kwa mujibu wa meneja wa hitmaker huyo wa Aje, Seven Mosha kuna kila dalili Kiba akaachia documentary yake ya safari hiyo na vitu vingine kwa ajili ya kuwapa fursa mashabiki wake kujionea kila kilichotokea kwenye sherehe hiyo.

Kupitia mtandao wa Instagram, meneja huyo ameandika:

The King’s @officialalikiba Sayari Camp visit is documented by filmmaker Simone Pecorari and managed by @g.salome . The documentary will be aired on local and international media soon!! #Kings30YearsTurnUp

#SayariCampSerengeti

#ExploreLoveProtect