SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 1 Desemba 2016

T media news

JE UNAJUA KUWA MTI MREFU AFRIKA UPO TANZANIA SOMA HAPA KUJUA MKOA GANI UNAPOPATIKANA MTI HUO

MTI mrefu afika umegunduliwa tanzania  fahamu mtu huyo upo mkoa gani tanzania.

 

Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani

Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita, lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima urefu wake.

Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.

Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.

Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani