SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 16 Desemba 2016

T media news

DAVID KAFULILA AMEKIHAMA CHA NCCR MAGEUZI

Taarifa iliyotolewa na Mwananchi imeeleza kwa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.

Imeelezwa kwamba Kafulila amethibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo December 16 2016.

CHANZO NA MILLARD AYO