Katika hali yoyote inapokuwa na ushindani wa aina yoyote basi mwisho wa siku ni lazima mshindi apatikane na atunukiwe jambo.
EATV inatupa wasaa wa kuwajua wasanii wetu waliofanya vizuri kwa mwaka huu na ngoma zao kwa kuandaa jambo ambalo watanzania na wapenda burudani wengi walitamani kuliona.
BongoSwaggz inakusogezea orodha kamili ya wasanii wanaowania tuzo hiyo na vipengele vyake.
MWANAMUZIKI CHUPUKIZI.
Amani Hamisi (Man Fongo) - Hainaga Ushemeji
Feza Kessy - Sanuka
Rukia Jumbe (Rucky Baby) - Give me some more
Mayunga Nalimi (Mayunga) - Nice Couple
Rashid Said (Bright) - Nitunzie
MUIGIZAJI BORA WA KIUME
Meya Shabani Hamisi
Salim Ahmed (Gabo)
Daudi Michael (Duma)
Dotto Hussein Matotola
Saidi Mkukila
MUIGIZAJI BORA WA KIKE
Chuchu Hansy
Rachel Bithulo
Frida Kajala Masanja
Khadija Ally
FILAMU BORA YA MWAKA
Facebook Profile
Safari ya Gwalu
Mfadhili Wangu
Hii ni Laana
Nimekosea Wapi
KUNDI BORA LA MWAKA
Navy Kenzo
Mashauzi Classic
Team Mistari (Kenya)
Sauti Sol (Kenya)
Wakali Wao
VIDEO BORA YA MWAKA
Namjua - Shetta
Njogereza - Navio
Aje - Ali Kiba
Don't Bother - Joh Makini
NdiNdiNdi - Lady Jay Dee
MWANAMUZIKI BORA WA KIUME
Gnako
Shetta
Mwana FA
Ben Pol
Alikiba
MWANAMUZIKI BORA WA KIKE
Lilian Mbabazi (Uganda)
Ruby
Lady Jay Dee
Linah
Vanessa Mdee
WIMBO BORA WA MWAKA
Don't Bother - Joh Makini
NdiNdiNdi - Lady JayDee
Kamatia Chini - Navy Kenzo
Aje - Alikiba
Moyo Mashine - Ben Pol
Je ? kuna kipengele chochote unahisi msanii wako atachukua tuzo basi hujachelewa BongoSwaggz inakupa nafasi ya kumpigia kura msanii umpendae hapa .
