SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 1 Novemba 2016

T media news

BENKI YA CRDB IMETANGAZA HASARA YA TAKRIBANI SHILINGI BILIONI 2

HALI YA UCHUMI: Benki ya CRDB imetangaza hasara ya takribani Shilingi Bilioni 2 katika hesabu zake za robo mwaka (Quarterly Financial Statements)

Taarifa za fedha zinaonesha kuwa mikopo mingi haijalipwa (underperforming Loans) lakini pia CRDB walikuwa wana limbikizo kubwa la deni la kodi la muda mrefu.

Mwaka 2015 kwenya taarifa yake ya robo mwaka muda kama huu CRDB ilipata faida ya Shilingi bilioni 37.9 baada ya kulipa kodi na tozo nyingine.