Kichanga huyu alikutwa katupwa jana katika eneo la viwanja vya Ofisi za CCM wilayani Bunda mjini, Tayari kalikuwa kashakufa.
kwa mujibu wa mashuhuda wanasema kuwa kichanga hiki hakikuzaliwa bali mimba yake ilitolewa na ukiangalia utaona mimba yake ilikuwa ni kubwa sana ni zaidi ya miezi 7. hata hivyo haikufahamika ninani aliyehusika na tukio hilo.