SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 10 Septemba 2016

T media news

HALI si Shwari Zimbabwe..Serikali Yatangaza Kuwapunguza Kazi Watumishi wa Umma Takribani 25,000

ZIMBABWE: Serikali yatangaza kuwapunguza kazi watumishi wa umma takribani 25,000 kwa sababu haina uwezo wa kuwalipa mishahara wote

Pia imetangaza kufuta posho zote kwa wafanyakazi wa umma kwa kipindi cha miaka miwili.