Umaarufu wa sanaa yoyote duniani hasa kwa watoto wa kike lazima uwe na kipaji bila kusahau uwezo binafsi wa ulimbwende ili kipaji kibebeke.Muonekano wa mastaa hawa inaweza kuwa wa kuzaliwa nao au wakutengenezwa.Kuwa gademu le super star muonekano ndo kila kitu hiyo ni theory ya ustar usinichukie mimi.