SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 25 Agosti 2016

T media news

Ratiba ya hatua ya makundi ya Uefa Champions League hii hapa

Ratiba kamaili ya hatua ya makundi ya Uefa champions League imetoka. Timu za Uingereza zinaonekana kuwa na ahueni kwenye hatua hii kutokana na kutokuwa kwenye makundi ya vifo huku Leicester wakiwa kwenye kundi ambalo unaweza kuliita nyanya zaidi.

Kwa ratiba hii unatakiwa kuwa na matarajio ya kushuhudia moja ya hatua 16 bora nzuri na yenye ushindani zaidi kwa uwezekano wa vilabu vikubwa kubaki kwenye hatua ya makundi ni mdogo sana.