Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi leo alfajiri na anashikiliwa kituo cha kati. Sababu za kukamatwa kwake bado hazijawekwa wazi
habari michezo na burudani