Mchezaji wa kikapu Marekani (NBA) Steven Adams wa timu ya Okhlohamio City ameomba radhi baada ya kuwaita ‘nyani wadogo’ wachezaji wa timu pinzani ya Golden State Warriors waliowafunga bao 108-102. Adams aliyasema maneno hayo baada ya kuhojiwa mwisho wa mchezo. Adams bado alikuwa akiendelea kudai kuwa hakumaanisha chochote kibaya bali ametumia kama usemi tu akisema “lilikua ni neno tu.